ALPHA SECURITY SERVICES CO. LTD
Tawi la mwanza
Inawatangazia nafasi ya kazi afisa masoko
sifa za mwombaji
Awe mtanzania
Awe na akili timamu
Awe na umri usio pungua miaka 25 na kuendelea
Awe na ya elimu kuanzia certificate hadi degree
Awe na uzoefu wa kazi ya masoko
mwisho kupokea maombi 30 may 2016
maombi yote yatumwe kwa mfumo wa electronic email infro@alphasecuritytz.com or alphasec16@gmail.com nafasi ya kazi ni Mwanza
Kwa mawasiliano zaidi piga no 0763463655/0712390037
Au Tuma ujumbe wa maneno utajibiwa
Sunday, 10 April 2016
TANGAZO LA KAZI YA AFISA MASOKO
20:23
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment