ALPHA SECURITY SERVICES .CO. LTDP.O BOX 10063 MWANZAMOB: +255766230976/0712390037DECLARATION OF WORK OF PROTECTIONALPHA SECURITY SERVICES CO. LTD you the vacancies protection for those graduates to form four or six.Features of the applicant.
i. Tanzanians haveII. have and infinite age twenty-five years decreased to 45III. has passed following militant forces, National Service, TPDF, police, prisons and have certificates of graduate training.IV. be committing a criminal offense criminal actV. Priority will be given to the seventh grade to those experienced militia or JKTVI. Awe good behaviorVII. Be able to workVIII. Be able to work outside the region mwanzaIX. Awe and sanex. have and infinite length. decreased ft 5.7 for T-shirts and the girls 4.5XI. Applicant who attach to his cv.Two applications will be required pasted two pass port size photosAll applications will be brought to the office buzuruga near malulu road going to manumbuFor more information call +25576623/0712390037 application deadline 09/30/2016ALPHA SECURIRY SERVICES CO. LTD
KISWAHILI
ALPHA SECURITY SERVICES .CO. LTD
P.O BOX 10063 MWANZA
MOB: +255766230976/0712390037
TANGAZO LA KAZI YA ULINZI
ALPHA SECURITY SERVICES CO. LTD inawatangazia nafasi za kazi ya ulinzi kwa wale wahitimu wa kidato cha nne au cha sita.
Sifa za mwombaji.
I. Awe mtanzania
II. Awe na umri usio pungua miaka ishirini na tano hadi 45
III. Awe amepitia majeshi yafuatayo mgambo, jkt,jwtz,polisi, magereza na awe na vyeti vya kuhitimu mafunzo hayo.
IV. Awe ajawahi kutenda makosa ya jinai
V. Kipaumbele kitatolewa kwa darasa la saba kwa wale walio pitia mgambo au jkt
VI. Awe na tabia nzuri
VII. Awe na uwezo wa kufanya kazi
VIII. Awe na uwezo wa kufanya kazi nnje ya mkoa wa mwanza
IX. Awe na akili timamu
X. Awe na urefu usio pungua ft 5.7 Kwa wafulana na wasicha 4.5
XI. Mwombaji aambatanishe na cv zake.
Barua ya maombi inatakiwa kubandikwa picha mbili pass port size
Maombi yote yaletwe ofisini buzuruga karibu na kwa malulu barabara ya kwenda kwa manumbu
Kwa mawasiliano zaidi piga simu +25576623/0712390037 mwisho wa kutuma maombi 30/9/2016
ALPHA SECURIRY SERVICES CO. LTD
KWA LUGHA YA KISWAHILI
Saturday, 7 May 2016
TANGAZO LA KAZI YA ULINZI
21:30
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment