Wednesday, 6 April 2016

TANGAZO LA KAZI YA ULINZI

ALPHA SECURITY SERVICES CO. LTD inawatangazia nafasi za kazi ya ulinzi
sifa za mwombaji awe mtanzania
awe na akili timamu
awe na umri kuanzia miaka 20 mpaka 40
awe ajawahi kutenda kosa la jinai
awe na elimu kuanzia form 4 na kuendelea
awe amepitia mafunzo ya ulinzi kama jkt,jwtz,polisi,magereza
awe tayari kufanya kazi sehemu yeyote
kipaumbele kitatolewa kwa darasa la saba ambaye aliyepitia mafunzo ya kijeshi

kwa mawasiliano zaidi piga no 0763463655/0712390037
maombi yote yapitie kwa mfumo wa electronic mail infro@alphasecuritytz.com mwisho kupokea maombi ni 30 May 2016

0 comments:

Post a Comment